KALENDA MPYA KWA KUFUATA RATIBA MPYA YA MIHULA YA MASOMO KWA MWAKA 2024.
MAAZIMIO YA KAZI MUUNDO MPYA KWA KUFUATA KALENDA MPYA YA UTEKELEZAJI WA MASOMO SHULE YA MSINGI 2024.
MFANO WA AZIMIO LA KAZI KALENDA MPYA KWA KUFUATA RATIBA MPYA YA MIHULA YA MASOMO KWA MWAKA 2024
BONYEZA HAPA KUWASILIANA WHATSAPP (TUMA UJUMBE"NAHITAJI MAAZIMIO YA KAZI 2024")
Nini maana ya Azimio la kazi?
Maana ya Azimio la Kazi.
Azimio la kazi ni mwongozo unaoandaliwa na Mwalimu ambao unaonesha mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali katika Muhtasari wa somo husika.
Azimio la kazi shule ya msingi uonesha mpangilio wa Mada Kuu na Mada Ndogo ambazo zitafundishwa darasani kwa muda uliopangwa na kwa kufuata mtaala mpya wa mwaka husika.
SOMA: MAOMBI YA AJIRA ZA UALIMU NA AFYA TAMISEMI.
UMUHIMU WA AZIMIO LA KAZI
Maazimio ya kazi shule za msingi husaidia kumpa nafasi mwalimu anayempokea somo lake kujua pa kuanzia
Kuandaa andalio la somo kunahitaji rejea ya azimio la kazi
Azimio la kazi husaidia kutoa nafasi ya kufanya marekebisho ya mwelekeo inapobidi.
Azimio la kazi kwa shule za msingi husaidia kuonesha wapi mwalimu alipofikia.
VIPENGELE MUHIMU KATIKA MAAZIMIO YA KAZI MUUNDO MPYA SHULE ZA MSINGI 2024- TANZANIA KALENDA MPYA.
1. Muhula ambao azimio la kazi litatumika
2. Mwezi ambao mada fulani zitafundishwa
3. Ujuzi, maarifa, stadi na muelekeo anaoupata mwanafunzi baada ya kujifunza mada husika.
4. Idadi ya wiki katika mwezi fulani ambao sehemu fulani ya mada itafundishwa
5. Idadi ya vipindi watakavyofundishwa katika idadi ya juma au majuma yaliyooneshwa
6. Azimio la kazi huonyesha mada kuu na Mada ndogo kama inavyoonekana katika muhtasari wa somo.
7. Vitendo vya ufundishaji na ujifunzaji:
Hapa hujazwa vitendo atakavyofanya mwalimu katika kujiandaa kufundisha mada na vitendo vitakavyofanywa na wanafunzi kwa maelekezo ya mwalimu
8. Vifaa/zana:
Katika sehemu hii mwalimu anapaswa kuonesha vifaa au zana mbalimbali atakazotumia wakati wa ufundishaji wa mada ili kuweza kufanikisha ufundishaji na kuweza kufikia lengo mahususi.
9. Rejea:
Hapa mwalimu ataonesha vitabu alivyotumia kama rejea katika mada anayofundisha
10. Maoni:
Katika safu hii mwalimu atatoa maoni yake kuhusu mafanikio aliyoyaona, matatizo yaliyojitokeza na mapendekezo ya kuboresha ufundishaji.
Maazimio Ya Kazi Shule ya Msingi Kwa kufuata Kalenda Mpya ya Masomo 2024 |
Pata Maazimio Ya Kazi Yaliyo fuata kalenda mpya ya masomo 2024 Mihula mipya (Schemes Of Work 2024 Based on new calendar) Kwa Shule Za Msingi na Sekondari Kwa Masomo Yote.
MAAZIMIO YAMEANDALIWA KWA KUFUATA KALENDA MPYA NA MIHULA MIPYA YA MASOMO 2024 AWALI NA MSINGI NA SEKONDARI KIDATO 1 – 4.
Maazimio ya kazi Awali 2024| Maazimio ya Kazi 2024 Darasa La Kwanza Hadi Darasa La Saba, Kalenda Mpya Mtaala Mpya Elimu ya Msingi Tanzania.
Tumekuandalia Maazimio Ya Kazi kwa mwaka 2024 kwa kufuata mtaala mpya, Kalenda Mpya na Muundo mpya wa Maazimio Elimu ya Msingi Tanzania kuanzia Elimu ya awali (Chekechea) hadi la saba.
Maazimio ya Kazi pdf zipo na pia Maazimio ya kazi Word/Docs pia zipo ambazo utaweza kuongeza Jina la Mwalimu, Jina la Shule na taarifa zingine kutegemeana na uhitaji wako.
Maazimio ya Kazi kwa kufuata Kalenda Mpya Shule Za Msingi Elimu ya Awali na Msingi la 1 hadi la 7 2024.
Maazimio ya Kazi Awali Shule ya Msingi Muundo Mpya kwa kufuata Kalenda mpya
- Azimio La Kazi Awali Kuhusiana 2024.
- Azimio La Kazi Awali Stadi Za Kisanii Ubunifu Na Michezo 2024.
- Azimio La Kazi Awali Stadi Za Awali Za Kihisabati, Sayansi Na Tehama 2024.
- Azimio La Kazi Awali Utamaduni Wa Jamii, Elimu Ya Imani Na Tunu Za Taifa 2024.
- Azimio La Kazi Awali Kutunza Afya Na Mazingira 2024.
- Azimio La Kazi Awali Stadi Za Awali Za Lugha Ya Mawasiliano 2024.
Maazimio ya kazi Shule Za Msingi Muundo Mpya 2024 Darasa la Kwanza hadi la saba.
- Azimio la kazi Maarifa ya Jamii Shule ya Msingi.
- Azimio la Kazi Hisabati Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi English Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi Kiswahili Shule ya Msingi.
- Azimio la Kazi ya Sayansi na Teknolojia Shule ya Msingi.
- Azimio la Kazi Uraia na Maadili Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi Stadi za Kazi Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi Jiografia Na Mazingira Darasa La 3
- Azimio la kazi Historia Ya Tanzania Na Maadili Darasa La 3
- Azimio la kazi Sanaa Na Michezo Darasa La 3
- Azimio la kazi English La 3
- Azimio la kazi English La 1
JINSI YA KUPATA MAAZIMIO YA KAZI SHULE YA MSINGI 2024 KWA KUFUATA KALENDA MPYA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA
MSINGI TANZANIA.
Maazimio haya unatumiwa kupitia WhatsApp au Barua Pepe (Email) baada ya kuchangia kidogo gharama za maandalizi ambayo ni 2,500/= kwa kila Azimio la kazi.
SHUHUDA ZA WATEJA, MAAZIMIO YA KAZI SHULE YA MSINGI 2024 TANZANIA
Mteja wa Maazimio ya kazi Kalenda Mpya 1 |
Mteja wa Maazimio ya kazi Kalenda Mpya 1 2 |
Bonyeza link hapo chini ambayo itakupeleka mpaka inbox na kisha utatuma ujumbe huu (Nahitaji Maazimio ya Kazi 2024) baada ya kutuma ujumbe huo utapata muongozo na kupokea Maazimio yako ndani ya muda mfupi.
BONYEZA HAPA KUWASILIANA WHATSAPP (TUMA UJUMBE"NAHITAJI MAAZIMIO YA KAZI 2024")
0 Comments